Justin na Hailey Bieber wanazidi kuishi vyema licha ya uvumi wa kuachana ambao umeendelea kuwaandama. Inasemekana kuwa wanandoa hawa wanapenda ukurasa mpya ya maisha yao kama wazazi baada ya kumpata mtoto wao, Jack Blues, mwezi Agosti mwaka jana..
Justin, mwenye miaka 30, aliibua wasiwasi kwa mashabiki baada ya kugundulika kuwa alim-unfollow Hailey, mwenye miaka 28, kwenye Instagram. Hata hivyo, Justin alikanusha kuwa, akidai kuwa mtu alingia kwenye akaunti yake na kuacha kumpunguza mkewe kwenye watu anaowafuatilia.”
Ingawa ndoa yao imekuwa ikizungumziwa sana, chanzo kiliiambia #PageSix wanandoa hao wanachukulia uvumi wa kuachana kwao kama upuuzi. “Wanapendana na wanaendelea vyema.” kilisema chanzo
Hailey alijibu kwa kusema kuwa uvumi ni wa kijinga kwa kuposti selfie akionyesha pete yake ya uchumba ya dola milioni 1.5, akithibitisha kuwa bado wapo pamoja.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.