Jux na priscy Watarajia mtoto wao wa kwanza.

@juma_jux & @its.priscy Wanatarajia Kupata mtoto wao wa kwanza pamoja. Wawili hawa wame-share picha kwa pamoja zikiwaonesha wakiwa na furaha ya Kutarajia Ujio Wa Mtoto Wao Wa Kwanza.

Kupitia Kurasa Zao Za Instagram wamethibitiaha Hilo, Ambapo Picha Zinamuonesha Priscy akiwa Ni Mjamzito.