Kenya ‘yaipindua’ Tanzania Mapinduzi ‘cup’ huko Pemba 

Timu ya Taifa ya Tanzania (Kilimanjaro Stars) imekubali kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Harambee Stars (Kenya) ikiwa ni kichapo cha pili mfululizo kwa Stars tangu kuanza kwa michuano hiyo ya kimataifa ya Kombe la Mapinduzi.

Harambee Stars inashikilia mkia wa kundi ikiwa haina alama yoyote ikipoteza dhidi ya Zanzibar na Kenya na sasa imebakisha mchezo mmoja wa Mwisho dhidi ya Burkina Faso.