Inaonekana Kuwa Ombi La Kibali Cha Kukamatwa Kwa Nicki Minaj Kilichoombwa Na Polisi Wa Detroit Hivi Karibuni Limekataliwa. Nicki Anakabiliwa Na Madai Ya Kumshambulia Aliyewahi Kuwa Meneja Wake Brandon Garrett, nyuma ya jukwaa la Little Caesars Arena, Detroit, April Mwaka Jana 2024.
Kwa Mujibu Wa TMZ, Mwakilishi Wa Ofisi Ya Waendesha Mashtaka Kaunti ya Wayne, Ni Kwamba Wamepitia Ombi Hilo Lakini Wameamua Kulipiga Chini Kwasababu Ya Ushahidi Usiojitosheleza
.
Hata Hivyo Ofisi Ya Waendesha Mashtaka Imewataka Idara Ya Polisi Wa Detroit Kufanya Uchunguzi Zaidi Juu Ya Tukio Hilo.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.