Polisi yakanusha Kuwepo kwa Kontena la Silaha



Jeshi la Polisi Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kuwepo Kwa kontena la silaha

Akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Sept 1,2025 Msemaji wa Jeshi Hilo (DCP) David Misime amesema kuwa taarifa hizo sio za kweli ambapo amesisitiza kuwa hakuna ukweli kuhusu taarifa hizo

Aidha DCP Misime ametoa onyo Kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitoa taarifa za upotoshaji kupitia Mitandao ya kijamii

Ukanushaji wa taarifa hiyo kutoka Jeshi la Polisi unakuja kufuatia kuwepo Kwa taarifa kupitia Mitandao ya Kijamii kuwa Kuna kontena la silaha

Cc: @carlosngonya
#WasafiDigital