Rapa Diddy Ahukumiwa Miaka 4 Jela.

Rapa Na Mfanyabiashara ‘Diddy’ Amehukumiwa Miezi 50 Jela Ikiwa Ni Pamoja Na Miezi 14 Ambayo Tayari Ametumikia (Time Served).

Hivyo Hii Inaonesha Kuwa Diddy Atakuwa Jela Kwa Miaka 3 Tu Kwasasa Ikiwa Tayari Alikuwa Jela Kwa Mwaka Mmoja Na Miezi Miwili.

Diddy Alikutwa Na Hatia Katika Makosa mawili Yanayohusiana Na Ukahaba Ikiwemo Kusafirisha Binadamu Kwa Ajili Ya Ukahaba.