Rapa Sexyyred Ameweka Wazi Kushambuliwa, Akidai Kuwa Anahisi Yeye Ndio Rapa Wa Kike Anayechukiwa Zaidi.
Kwenye Mahojiano Na @bigboysneighborhood Amesema;
“Sitoongopa Kabisa, Nahisi Mimi Ndio Rapa Wa Kike Ninayechukiwa Zaidi, Wanachuki Sana Dhidi Yangu, Naona Kama Hawa Wapuuzi Wanataka Kunishusha (Tryna Bring Me Down)” – Sexyy Red
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.