Rihanna Afiwa Na Baba Yake Mzazi ‘Ronald Fenty’.

Mwanamuziki Rihanna Amempoteza Baba Yake ‘Ronald Fenty’, Ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 huko Los Angeles baada ya kuugua (Ugonjwa Haujawekwa Wazi). Ronald Fenty Amefariki Dunia Leo Jumamosi Mei 31, 2025.

Baba Wa Rihanna ‘Ronald Fenty’ Na Mkewe ‘Monica’ Walibarikiwa Kuwa Na Watoto Watatu Ambao Ni Rihanna, Rajad, na Rorrey.