Sehemu Ya Mwisho Ya Avatar, Avatar 5 Itatoka 2031.

Fllamu ya ‘Avatar’ ambayo imejizolea umaarufu mkubwa Duniani imeripotiwa itafika mwisho mara tu baada ya kutoka sehemu Ya 5, Ambayo Itaachiwa Rasmi 2031.

Baada Ya Avatar: The Way of Water, Kufanya Vizuri Zaidi Sokoni, Kwa Sasa Inasubiriwa ‘Avatar 3’ Ambayo Itaachiwa Mwaka Huu Dec 19, 2025, Kisha ‘Avatar 4’ Yenyewe Itatoka Dec 21, 2029 Na ‘Avatar 5, Ambayo Ni Ya Mwisho Itaingia Sokoni Dec 19, 2031 .