Rapa Wa Marekani “Boosie Badazz” ana historia ndefu ya matukio ya risasi kwenye Shows Zake. Kwani Usiku Wa Kuamkia Leo (Jumanne), tukio kama hilo limejirudia tena Kwenye Show Yake Huko Akron, Cleveland (Ohio), ambapo risasi zilifyatuliwa kwenye tamasha lake, na kusababisha majeruhi Watatu (3), Huku Wawili Hatarini Kupoteza Maisha. .
Mtuhumiwa Bado Hajabainika Lakini Polisi Walikiambia Kituo Cha “Cleveland 19” Kuwa Shambulio Hilo Lilitokea Baada Ya Ugomvi.
Hata Hivyo Hii Sio Mara Kwanza Kutokea Shambulizi La Risasi Katika Show Ya Rapa Huyu Kwani Agosti Mwaka Jana 2024 Wawili Waliuawa Kwenye Onesho Lake Lililofanyika Huko Mjini Iowa, Huku Boosie Akidai Kuwa Hajui Chochote Kuhusu Tukio Hilo.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.