Shatta Wale Arudisha Hela Kisa Diamond Kulipwa Tsh Bilioni 1.5/= Birthday Ya Bilionea Ghana

Muimbaji Wa Ghana @shattawalenima 🇬🇭 Ameripotiwa Kuwa Alirudisha Kiasi Cha Pesa Takribani $200K (Tsh Milioni 532+) Ambazo Alilipwa Kwa Ajili Ya Kutumbuiza Kwenye Birthday Ya Bilionea “Richard Quaye”.

ShattaWale Alifanya Hivyo Baada Ya Kupata Taarifa Kuwa Diamond Na Davido Wamelipwa $600k & $500K Sawa Na (Tsh Bilioni 1.6/= & Tsh Bilioni 1.3/=) Kwa Ajili Ya Kutumbuiza Kwenye Birthday Hiyo Hiyo Wakati Yeye Na Sarkodie Ambao Ndio Waimbaji Wa Ghana Wamelipwa $200K (Tsh Milioni 532+).

Anaamini Kuwa Anastahili Kulipwa Sawa Na Diamond & Davido !!.