Stefon Diggs Akanusha Kuachana Na Cardi B Kisa Harufu Mbaya Ya BBL (Makalio Ya Kuongeza).

Stefon Diggs Amekanusha Taarifa Za Uzushi zilizosambazwa mtandaoni kuwa Amemuacha Cardi B Kisa Harufu Mbaya Ya ‘BBL’ (Makalio Yakuongeza/ Upasuaji). Diggs Katika Post Ya Taarifa Hiyo Ameacha Comment Inayodai Kuwa Taarifa Hiyo Haina Ukweli Wowote Yani ‘Cap’.

Kumbuka Hivi Karibuni Ziliibuka Taarifa Kuwa Diggs Na Cardi B Wameachana, Lakini Taarifa Hizo Hazikuwa Na Ukweli Wowote Kwani Wawili Hao Bado Wanafurahia Penzi Lao Pamoja ❤️.