Timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ chini ya Kocha @miguelgamondi imetinga hatua ya mtoano (16 bora) katika michuano ya Fainali ya AFCON 2025.
Tanzania imeingia hatua hiyo Kama best looser baada ya kukusanya alafu 2 na kufunga magoli matatu.
FULL TIME
Uganda πΊπ¬ 1-3 Nigeria π³π¬
Tunisia πΉπ³ 1-1 Tanzania πΉπΏ
Katika kundi C Nigeria π³π¬, Tunisia πΉπ³ na Tanzania πΉπΏ zimefuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025









Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and weβll get back to you as soon as possible.