Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.),
aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na
Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa,
Jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Mheshimiwa Rais ametoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa, marafiki na
Watanzania wote kwa msiba huo.
Taarifa zaidi zitakujia Kupitia Kurasa zetu
















Leave a Reply