Tems Amshukuru Seyi Sodimu Baada Ya Kukosolewa .

Muimbaji Wa Nigeria #Tems Amemshukuru Seyi Sodimu Baada Ya Kukosolewa Na Mashabiki Kwa Kutomshukuru Kwenye Hotuba Yake Ya Grammy. Kumbuka Muda Mfupi Baada Ya Tems Kushinda Tuzo Ya Grammy Uliibuka Mjadala Mtandaoni Kuhusu Tems Kushindwa Kutoa Shukrani Kwa Seyi Sodimu Wakati Wa Hotuba Yake .

Tems Jana Alishinda Tuzo Ya Grammy Kama “Best African Music Performance” Kupitia Ngoma Yake Ya “Love Me Jeje” Ambao Aliukopi Kutoka Kwa Seyi Sodimu kwenye wimbo wake ‘Love Me Jeje’ Uliotoka 1997.

Tems alivyo-tweet kumshukuru Seyi Sodimu Baada Ya Kukosolewa

Hivyo Mashabiki Walihoji Kwa Kitendo Cha Tems Kutothamini Mchango Wa Muimbaji Huyo Mkongwe Kutoka Nigeria .

“Tems Amejisahau, Kwani Alipswa Kumshukuru Seyi Sodimu Kwa Kukopi Wimbo Wake Wa (Love Me Jeje) Wa 1997” – Shabiki