Timu Ya Beyonce Yaibiwa Hard-Drive Zenye Nyimbo Zake N.k.

Imeripotiwa Kuwa Kabla Ya Shows Za Beyonce Jijini Atlanta, Wezi Walivunja Gari Za Watu Wake (Choreographer Na Dancer Mmoja) Julai 8 Kisha Kuiba Hard Drives Zenye Kazi Zake.

Hard Drives Hizo Zinatajwa Kuwa Na Ngoma Zake Ambazo Bado Hazijatoka, Videos, Mipango Ya Shows Pamoja Na Vitu Vingine Muhimu. Hadi sasa hakuna taarifa ya kupatikana kwa vitu Hivo Lakini uchunguzi rasmi kuhusu tukio hilo umeanza.