Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi amesema katika kipindi cha Miaka mitano ijayo chama hicho kitahuisha Mchakato wa Mchakato wa Katiba mpya.
Dkt Nchimbi ametoa hakikisho hilo leo Septemba 01, 2025 wakati akiwa mkoani Simiyu, ikiwa Muendelezo wa Kampeni Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
“Lakini Sambamba na mpango huo, pia CCM imedhamiria ndani ya miaka mitano ijayo itaendelea kusimamia na kudumisha Suala la Amani kwa Watanzania” amesema Dkt @nchimbie.
@Mwinyi_tz
Dkt. Nchimbi asema CCM itahuisha mchakato wa Katiba Mpya

Leave a Reply