Tusiishiwe Pawa kama walivyoishiwa wenye wenzetu – Dkt. Samia

Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)na ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa walioteuliwa ndio Mungu amewawekea Mkono na ambao hawajateuliwa Wasubiri

Dkt. Samia ameyasema hayo Leo Sept 6,2025 Wakati akizungumza na Wakazi wa
Mafika Mkoani Iringa kwenye muendelezo wa Mikutano yake ya Hadhara ya Kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

Dkt. Samia amesema kuwa Wana CCM wavunje makundi na wawe kitu Kimoja ili wasiishiwe pawa kama ilivyokuwa Kwa wapinzani.