Kevin Hart alishangaza watazamaji huko Inglewood, California kwenye tamasha la Usher hii ni baada ya mchekeshaji huyo kutumbuiza bila shati, akimuiga Usher na kuimba ‘Nice & Slow.’
Usher alijiunga haraka na Hart jukwaani, na kumuuliza ‘Unafanya nini?!’
Hart kisha alitania kuhusu makubaliano ya kuimba wimbo huo, kabla ya kuondoka hatimaye akazua maneno mengi mitandaoni.
‘Katika hali ya kushangaza, Kevin Hart alipanda jukwaani wakati wa tamasha la Usher huko Inglewood, California, kiasi cha kushtua na kufurahisha watazamaji’ vyanzo vya habari vya burudani vilisema.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.