Wasanii Wanaowania Tuzo Za BET 2025.

Waandaji Wa Tuzo Za BET Wametangaza Orodha Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Hizo Huku Rapa Kendrick Lamar Akiongoza Kuwania Vipengele 10 Vya Tuzo Hizo.

Kutoka Tanzania Msanii @abigail_chams Amechanguliwa Kuwania Kipengele Cha ‘Best New International Act’ Pamoja Na @.txc. & @theycallmeshallipopi Kutoka Nigeria. Katika Kipengele Cha ‘International Act’ Wasanii Wanaowania Ni Kama Vile Rema, Tyla, Joe Dwet, Uncle Waffles N.k

Hafla Ya Ugawaji Wa Tuzo Hizi Inatarajiwa Kufanyika June 9 Ukumbi Wa Peacock Uliopo Jijini Los Angeles, Nchini Marekani.