Katika mafanikio ya hivi karibuni ya muziki wa Afrika Mashariki, wasanii wa Tanzania wameendelea kung’ara katika soko la Nigeria kupitia majukwaa ya muziki kama iTunes.
Wimbo wa “Ololufe Mi” Wa The African Boy! @juma_jux akimshirikisha @diamondplatnumz 🦁 umefanikiwa kuingia katika chati ya iTunes Nigeria, ukishika nafasi ya 3, Huku ‘God Design’ Aliyomshirikisha Muimbaji Wa Nigeria @phynofino Imepanda Kutoka Nafasi Ya 9 Hadi 2.

Mafanikio haya yanaonesha jinsi ushirikiano kati ya wasanii wa Afrika Mashariki na Magharibi unavyoweza kuleta matokeo Chanya na kupanua wigo wa muziki wa Kiafrika kimataifa. ✈️🌎🌎
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.