Zuchu adai mara nyingi anakosa msaada akiwa studio.

Msanii Wa Bongo Fleva Nchini @officialzuchu anataka mashabiki wake waelewe kwamba kazi ya kuandika nyimbo Hasa Ukiwa Mwenyewe ni ngumu lakini ina umuhimu mkubwa kwake kiakili na kihisia.

Zuchu Kupitia IG Story Yake Amesema Mara nyingi huwa ni yeye peke yake na producer, hivyo analazimika kufikiria kila kitu mwenyewe, kuanzia mawazo ya nyimbo, maneno, hadi kupanga kila kitu kwenye wimbo.

Ukiachilia Mbali Hilo Pia #Zuchu Anatarajia Kutumbuiza Kwenye Pre-Party Ya #NbcDodomaMarathon Jumamosi Hii Ya Julai 26 Ndani Ya #BambaLaga Kwa Kiingilio Cha Tsh 10,000/= Tu.