Diamond Amvuta Rick Ross Kwenye “Holiday” Remix

Tarajia Remix Ya #Holiday @diamondplatnumz Akiwa Ameshirikisha Rapa Wa Marekani @richforever Pamoja Na Muimbaji Wa Afrika Kusini @khalilharison .

Diamond Amethibitisha Hilo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram (Insta-Story) Kwa Ku-Share Kionjo Cha Remix Ya Ngoma Yake Hiyo.

“Au Tuachie Kwanza Rmeix Ya Hii Kitu Na Maahine Moja Ya Global Kabla Ya Hizo Bongo Fleva” – Diamond

Hii Itakuwa Kolabo Ya Pili Kwa Diamond Na Rick Ross, Ambapo Ya Kwanza Ilipatikana Katika Album Yake Ya “A Boy From Tandale” #WakaWaka iliyotoka 2017.

JE, Atoe Remix Ya Ngoma Hii Au Album Ya Bongo Flavor ⁉️