Baada ya uvumi kuanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba #JustinBieber amem-unfollow mke wake “Hailey Bieber”Katika Mtandao Wa Instagram, Justin Ameibuka Na Kutumia IG Yake kuweka mambo sawa.
Bieber Anadai Kuwa Kuna Mtu Alidukua (Hack) Account Yake Na Kisha Kum-Unfollow Mke Wake “Hailey Bieber”, Jambo Ambalo Liliibua Mijadala Kwa Mashabiki Wakiwa Na Mashaka Ya Hali Ya Ndoa Ya Wawili Hao



Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.