Msanii Wa Bongo Fleva Nchini @whozu_ Ameweka Wazi Kutoka Katika Label Ya “Too Much Money” Na Sasa Atajitegemea Mwenyewe.
“TOO MUCH MONEY kwang itabaki kuwa familia ya kudumu na nitashirikiana nao nyakati zote ushirikiano utakapohitajika. Hivyo kwa maneno haya machache namaanisha kuwa kwa sasa WHOZU hayupo tena chini ya TOO MUCH MONEY. Asanteni TOO MUCH MONEY kwa kuniamini na kuniaminisha kwa watanzania, sisi ni familia” – Whozu
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.