DROO YA MICHUANO YA AFCON 2025
- Michuano itafanyika nchini MOROCCO 🇲🇦
- Kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026.
KUNDI A
Morocco 🇲🇦
Mali 🇲🇱
Zambia 🇿🇲
Comoros 🇰🇲
KUNDI B
Egypt 🇪🇬
South Africa 🇿🇦
Angola 🇦🇴
Zimbabwe 🇿🇼
KUNDI C
Nigeria 🇳🇬
Tunisia 🇹🇳
Uganda 🇺🇬
Tanzania 🇹🇿
KUNDI D
Senegal 🇸🇳
DR Congo 🇨🇩
Benin 🇧🇯
Botswana 🇧🇼
KUNDI E
Algeria 🇩🇿
Burkina Faso 🇧🇫
Equatorial Guinea 🇬🇶
Sudan 🇸🇩
KUNDI F
Ivory Coast 🇨🇮
Cameroon 🇨🇲
Gabon 🇬🇦
Mozambique 🇲🇿
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo limechezesha droo ya makundi kwa michuano ya AFCON 2025, itakayofanyika nchini Morocco mwezi Desemba mwaka huu. Tanzania imepangwa Kundi C pamoja na Tunisia, Uganda, na mabingwa mara tatu wa michuano hiyo, Nigeria.
Hii ni mara ya nne kwa Tanzania kushiriki michuano ya AFCON katika historia na mara ya pili mfululizo, hatua inayothibitisha maendeleo makubwa ya soka la Taifa Stars.
Je, ukiangalia Kundi C, Tanzania ina nafasi ya kuingia hatua ya 16 bora mwaka huu? Tunakaribisha maoni yako!

Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.