Tory Lanez Akamilisha Album Mpya Kwa Njia Ya Simu Akiwa Jela.

Rapa Tory Lanez Ametangaza Kuachia Album Yake Mpya Iitwayo “Peterson” Ijumaa Hii. Album Hii Itakuwa Muendelezo Wa Album Yake Ya Mwaka 2020 Iitwayo “Daystar”.

Cover Ya Album Mpya Tory Lanez

Tory Lanez Ameipa Album Hii Mpya Jina La Babu Yake “Shua Peterson”. Lakini Album Hii Ameiandaa Na Kuikamilisha Akiwa Gerezani Anatumikia Kifungo Chake Cha Miaka 10 Kwa Kosa La Kumfyatulia Risasi Megan Thee Stallion