Kwa Mujibu Wa TMZ, Polisi walivamia jumba la Tekashi 6ix9ine huko Florida Jana Jumatano. Rapa huyo anadai kuwa walichukua silaha na Dawa Za Kulevya, Lakini Yeye Anasema kuwa hana hatia/ Hajafanya Kosa Lolote.
6ix9ine Ameimabia TMZ Kuwa Aliwekwa Chini Ya Ulinzi Kuanzia Saa 3 Asubuhi Hadi Saa 9 Jioni Huku Maafisa Usalama Wakiendelea Na Upekuzi. Lakini Pia Walichukua Vipimo (Sample Za DNA) Yake Ili Kubaini Kama Kutakuwa Na Alama Za Vidole Vyake Kwenye Silaha Pamoja Na Dawa Za Kulevya Walizokamata Nyumbani Kwake.
Kwasasa 6ix9ine Anatumikia Kifungo Chake Nyumbani baada ya kukiri makosa ya kuongoza genge la wahuni la Nine Trey Gangsta Bloods (NTG) 2019 na kuepuka kifungo cha mika 47 mpaka kifungo cha maisha jela.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.