Wasanii wa Nigeria wameingiza Naira Bilioni 58 (Tsh Bilioni 98.9/=) kwenye Spotify pekee mwaka 2024, kiasi ambacho ni mara mbili ya mapato ya mwaka 2023 na zaidi ya mara tano ya mapato ya mwaka 2022.
Sehemu kubwa ya mapato hayo imetokana na wasikilizaji wengi wa kimataifa, huku matumizi ya muziki wa Nigeria ndani ya Nchi yakiongezeka kwa 782% katika kipindi cha miaka mitatu mfululizo!
Sio Hivyo Tu Spotify Pia Imeripotiwa Kuweka Rekodi Ya Kuwalipa Wasanii Duniani Kote Kiasi Cha $10B (Tsh Trilioni 26.5/=).
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.