Rapa Wa Marekani @itsbobbyshmurda afikia uamuzi wa kuahirisha Ziara (Tour) yake kufuatia mauzo hafifu ya tiketi. Hii Ni Mara Baada Ya Rapa Huyo Kuuza Tiketi 10 Tu Kila Mji (Kwa Mujibu Wa Promoter Wa Tour Yake Philip Stengel).

Hata Hivyo Shmurda Ameomba Radhi Kwa Mashabiki Baada Ya Ziara Yake Hiyo Kusitishwa Na Kuweka Wazi Kuwa Anajutia Kufanya Kazi Na Watu Hao Na Kuahidi Kulipeleka Suala Hili Mahakamani. Tour Yake ilikuwa inaitwa “Still Alive Tour”, Ambapo Ilipangwa kuanza tarehe 15 Mei na kumalizika tarehe 19 Juni Mwaka Huu, ikijumuisha miji mikubwa kama Washington D.C., Los Angeles, Houston, na Boston.

Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.