Majina yote ya Wagombea Ubunge kupitia CCM  Baba Levo, Makonda wamo

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika
kikao chake kilichofanyika   Agosti 23, 2025  imefanya uteuzi wa mwisho wa majina ya wanachama wanaoomba nafasi za Ubunge na majina ya wanachama wanaoomba nafasi ya Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa majimbo na Viti Maalum.

Hii ndiyo Orodha kamili ya Walioteuliwa Kugombea Ubunge kupitia CCM katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025

ARUSHA

1.  Arusha Mjini: Paul Chrisant Makonda
2.  Arumeru Magharibi: Dkt. Johannes Lembulung’ Lukumay
3.  Karatu: Daniel Awack Tlemah
4.  Longido: Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
5.  Arumeru Mashariki: Joshua Nassari
6.  Monduli: Isack Copriao
7.  Ngorongoro: Yannick īkayo Ndoinyo

DAR ES SALAAM

1.  Kigamboni: Haran Nyakisa Sanga
2.  Kibamba: Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki
3.  Ubungo: Prof. Alexander Kitila Mkumbo
4.  Temeke: Mariam Kisangi
5.  Chamazi: Abdallah Jafari Chaurembo
6.  Mbagala: Kakulu Buchard Kakulu
7.  Kawe: Geofrey Anyosisye Timoth
8.  Kinondoni: Abbas Gulam (Tarimba)
9.  Ilala: Mussa Azzan Zungu
10. Ukonga: Jerry William Silaa
11. Segerea: Bonnah L. Kamoli
12. Kivule: Douglas Didas Masaburi

DODOMA

1.  Bahi: Kenneth Nollo
2.  Chamwino: Deogratius John Ndejembi
3.  Mvumi: Livingston Lusinde
4.  Chemba: Kunti Yusuph Majala
5.  Dodoma Mjini: Paschal Inyasa Chinyele
6.  Mtumba: Antony Mavunde
7.  Kondoa Vijijini: Ashatu Kachwamba Kijaji
8.  Kondoa Mjini: Mariam Ditopile Mzuzuri
9.  Mpwapwa: George Natany Malima
10. Kibakwe: George Boniface Simbachawene
11. Kongwa: Isaya Marugumi Moses

GEITA
1.  Bukombe: Dkt. Dotto Mashaka Biteko
2.  Busanda: Dkt. Jafar Rajab Seif
3.  Chato Kaskazini: Cornel Lucas Magembe
4.  Chato Kusini: Pascal Lucas Lutandula
5.  Geita Mjini: Chacha Mwita Wambura
6.  Geita: Musukuma Joseph Kasheku
7.  Katoro: Kija Limbu Ntemi
8.  Mbogwe: Fagasoni Aron Nkingwa
9.  Nyang’wale: Hallen Nassor Amar

IRINGA

1.  Iringa Mjini: Fadhili Fabian Ngajilo
2.  Ismani: William Vanging’ombe Lukuvi
3.  Kalenga: Jackson Gideon Kiswaga
4.  Kilolo: Dkt. Ritta Enespher Kabati
5.  Mafinga Mjini: Dickson Nathan Lutevele
6.  Mufindi Kusini: David Mwakiposa Kihenzile
7.  Mufindi Kaskazini: Exaud Kigahe

KAGERA

1.  Biharamulo Magharibi: Eng. Ezra John Chiwelesa
2.  Bukoba Mjini: Johansen Mutabingwa
3.  Bukoba Vijijini: Jasson Samson Rweikiza
4.  Karagwe: Innocent Lugha Bashungwa
5.  Kyerwa: Khalid Mussa Nsekella
6.  Misenyi: Florent Laurent Kyombo
7.  Muleba Kaskazini: Adonis Alfred Bitegeko
8.  Muleba Kusini: Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo
9.  Ngara: Dotto Jasson Bahemu

KATAVI

1.  Kavuu: Laurent Deogratius Luswetula
2.  Katavi: Thomas Kampala Maganga
3.  Mpanda Mjini: Haidar Hemed Sumury
4.  Nsimbo: Anna Richard Lupembe
5.  Tanganyika: Moshi Selemani Kakoso

KIGOMA

1.  Kakonko: Alan Thomas Mvano
2.  Muhambwe: Florance George Samizi
3.  Kasulu Mjini: Prof. Joyce Ndalichako
4.  Kasulu Vijijini: Edibily Kazala Kimnyoma
5.  Buhigwe: Prof. Pius Yanda
6.  Kigoma Kaskazini: Peter J. Serukamba
7.  Kigoma Kusini: Nuru Issa Kashakari (Kandahali)
8.  Kigoma Mjini: Clayton Revocatus Chiponda (Baba Revo)


KILIMANJARO

1.  Moshi Mjini: Ibrahim Mohamed Shayo
2.  Rombo: Prof. Adolf Faustine Mkenda
3.  Same Mashariki: Anne Kilango Malecela
4.  Same Magharibi: Dkt. Mathayo David Mathayo
5.  Moshi Vijijini: Morris Joseph Makoi
6.  Vunjo: Enock Zadock Koola
7.  Siha: Dkt. Godwin Aloyce Mollel
8.  Hai: Saashisha Elinikyo Mafuwe
9.  Mwanga: Ngwaru Jumanne Maghembe

LINDI

1.  Lindi Mjini: Mohamed Mussa Utaly
2.  Mchinga: Salma Rashidi Kikwete
3.  Kilwa Kaskazini: Kinjeketile Ngombale Mwir
4.  Kilwa Kusini: Hasnain Gulamabbas Dewji
5.  Liwale: Eng. Mshamu Ali Munde
6.  Mtama: Nape Mosses Nnauye
7.  Ruangwa: Kaspar Kaspar Mmuya
8.  Nachingwea: Fadhili Ally Liwaka

MANYARA

1.  Babati Mjini: Emmanuel John Khambay
2.  Babati Vijijini: Daniel Baran Sillo
3.  Mbulu Mjini: Zacharia Paulo Issaay
4.  Mbulu Vijijini: Emmanuel Qambaji Nuwas
5.  Hanang’: Asia Abdulikarim Halamga
6.  Simanjiro: James Kinyasi Millya
7.  Kiteto: Edward Ole Lekaita Kisau

MARA

1.  Bunda Mjini: Ester Amos Bulaya
2.  Bunda Vijijini: Boniphace Mwita Getere
3.  Butiama: Dkt. Wilson Mahera Charles
4.  Musoma Mjini: Mgore Miraji Kigera
5.  Musoma Vijijini: Prof. Sospeger Mwijarubi Muhongo
6.  Rorya: Jafari Wambura Chege
7.  Serengeti: Mary Daniel Joseph
8.  Tarime Mjini: Esther Nicholaus Matiko
9.  Tarime Vijijini: Mwita Mwikwabe Waitara
10. Mwibara: Kangi Alphaxad Lugora

MBEYA

1.  Mbeya Mjini: Ackin Patrick Mwalunenge
2.  Mbeya Vijijini: Patali Shida Patali
3.  Uyole: Dkt. Tulia Ackson
4.  Mbarali: Bahati Keneth Ndingo
5.  Kyela: Baraka Ulimboka Mwamengo
6.  Busokelo: Lutengano George Mwalwiba
7.  Rungwe: Anton Albert Mwantona
8.  Lupa: Masache Njelu Kasaka

MOROGORO

1.  Morogoro Mjini: Abdul Aziz Mohamed Abood
2.  Morogoro Kusini: Zuberi Yahaya Mfaume
3.  Morogoro Kusini Mashariki: Hamisi Shabani Tale Tale
4.  Gairo: Ahmed Mabkhut Shabiby
5.  Mvomero: Sarah Msafiri Ally
6.  Kilosa: Prof. Palamagamba John Kabudi
7.  Mikumi: Dennis Lazaro Londo
8.  Ulanga: Salim Alaudin Hasham
9.  Malinyi: Mecktrids Fratern Mdaku
10. Kilombero: Abubakar Damian Asenga
11. Mlimba: Kellen Rose Rwakatare

MTWARA

1.  Mtwara Mjini: Joel Arthur Nanauka
2.  Mtwara Vijijini: Arif Selemani Premji
3.  Nanyamba: Abdallah Dadi Chikota
4.  Tandahimba: Katani Ahmadi Katani
5.  Newala Mjini: Rashidi Mohamedi Mtima
6.  Newala Vijijini: Yahaya Esmail Nawanda
7.  Lulindi: Issa Ally Mchungahela
8.  Masasi: Leonard Douglas Akwilapo
9.  Ndanda: Faraji Buriani Nandala
10. Nanyumbu: Yahya Aly Mhata

MWANZA

1.  Ilemela: Kafiti Willam Kafiti
2.  Kwimba: Bulala Mtesigwa Cosmas
3.  Sumve: Bujaga Charles Moses
4.  Magu: Kiswaga Destery Boniventure
5.  Misungwi: Silvery Luboja Salvatory
6.  Nyamagana: nzilanyingi Francisco John
7.  Ukerewe: Dkt. Swetbert Zacharia Mkama
8.  Sengerema: Tabasamu Hamis Mwagao
9.  Buchosa: Erick James Shigongo

NJOMBE

1.  Makete: Festo Zacharius Sanga
2.  Ludewa: Joseph Zacharius Kamonga
3.  Wanging’ombe: Festo John Dugange
4.  Makambako: Daniel Godfey Chongolo
5.  Lupembe: Edwin Enosy Swalle
6.  Njombe Mjini: Deodatus Philip Mwanyika

PWANI

1.  Rufiji: Mohamed Omary Mchengerwa
2.  Kibaha Mjini: Silyvestry Francis Koka
3.  Kibiti: Amina Mussa Mkumba
4.  Bagamoyo: Subira Khamis Mgalu
5.  Chalinze: Ridhiwani Jakaya Kikwete
6.  Kibaha Vijijini: Hamoud Abuu Jumaa
7.  Mkuranga: Abdallah Hamisi Ulega
8.  Kisarawe: Dkt. Selemani Said Jafo
9.  Mafia: Omari Juma Kipanga

RUKWA

1.  Kalambo: Edifonsi Joackim Kanoni
2.  Nkasi Kaskazini: Salum Hamad Kazukamwe
3.  Nkasi Kusini: Moses Ludovico Kaegele
4.  Sumbawanga Mjini: Aeshi Khalfan Hilaly
5.  Kwela: Deus Clement Sangu

RUVUMA

1. Mbinga Mjini: Jonas William Mbunda
2. Mbinga Vijijini: Judith Salvio Kapinga
3. Namtumbo: Dkt. Juma Zuberi Homera
4. Tunduru Kaskazini: Sikudhani Yassin Chikambo
5. Tunduru Kusini: Fadhil Sandali Chilombe
6. Nyasa: John John Nchimbi
7. Songea Mjini: Dkt. Damas Daniel Ndumbaro
8. Madaba: Omary Marcus Msigwa
9. Peramiho: Jenista Joakim Mhagama

SHINYANGA

1. Solwa: Ahmed Ally Salum
2. Itwangi: Azza Hillal Hamad
3. Shinyanga Mjini: Patrobass Paschal Katambi
4. Kishapu: Lucy Thomas Mayenga
5. Kahama Mjini: Benjamin Lukubha Ngayiwa
6. Msalala: Mabula Johnson Magangila
7. Ushetu: Emmanuel Peter Cherehani

SIMIYU

1. Bariadi Mjini: Eng. Kundo Andrea Mathew
2. Bariadi Vijijini: Masanja Kungu Kadogosa
3. Busega: Simon Songe Lusengekile
4. Itilima: Njalu Daudi Silanga
5. Maswa Mashariki: George Venance Lugomela
6. Maswa Magharibi: Mashimba Mashauri Ndaki
7. Meatu: Salum K Khamis Salum
8. Kisesa: Musa Godfrey Mbuga

SINGIDA

1. Singida Mjini: Yagi Maulid Kiaratu
2. Ilongero: Haiderali Hussein Gulamali
3. Iramba Mashariki: Jesca David Kishoa
4. Iramba Magharibi: Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba
5. Ikungi Mashariki: Thomas Mgonto Kitima
6. Ikungi Magharibi: Elibariki Immanuel Kingu
7. Manyoni: Dkt. Pius Stephen Chaya
8. Itigi: Yohana Stephen Msita

SONGWE

1. Vwawa: Japheti Ngailonga Hasunga
2. Mbozi: Onesmo M. Mnkondya
3. Tunduma: David Ernest Silinde
4. Momba: Condester Michael Sichalwe
5. Songwe: Philipo Augustino Mulugo
6. Ileje: Godfrey M. Kasekenya

TABORA

1. Sikonge: Amosy William Maganga
2. Tabora Mjini: Hawa Subira Mwaifunga
3. Kaliua: Joseph Enock Tama
4. Ulyankulu: Japhael Masanja Lufungija
5. Nzega Mjini: Hussein Mohammed Bashe
6. Bukene: John Stephano Luhende
7. Nzega Vijijini: Neto Paul Kapalata
8. Igunga: Henry C. Kabeho
9. Manonga: Abuubakary A. Omary
10. Uyui: Shaffin Ahmedal Sumar
11. Igalula: Juma Ramadhani Mustafa (Kawamba)
12. Urambo: Margaret S. Sitta

TANGA

1. Tanga: Kassimu Amari Mbaraka
2. Mlalo: Rashidi Abdallah Shangazi
3. Lushoto: Shemdoe Riziki Silas
4. Bumbuli: Ramadhani Hamza Singano (Eng)
5. Muheza: Hamis Mwinjuma (Mwana Fa)
6. Mkinga: Twaha Said Mwakioja
7. Kilindi: Salehe Mbwana Mhando
8. Pangani: Jumaa Hamidu Aweso
9. Handeni Vijijini: Charles Jacob Sungura
10. Korogwe Mjini: Charles Mhando Njama
11. Korogwe Vijijini: Timotheo P. Mnzava
12. Handeni Mjini: Kwagilwa Reuben Nhamalilo

Wanachama wa CCM Walioteuliwa kwa Nafasi za Ubunge wa Viti Maalumu Mikoa (Tanzania Bara)

Mkoa wa Arusha
1. Marirta Gido Kivunge
2. Chiku Athuman Issa

Mkoa wa Dar es Salaam
1. Janeth Elias Mahawanga
2. Amina Good Said

Mkoa wa Dodoma
1. Neema Peter Majule
2. Jesca Yuda Mbogo

Mkoa wa Geita
1. Regina Henry Mikenze
2. Josephine Tabitha Chagula

Mkoa wa Iringa
1. Rose Cyprian Tweve
2. Nancy Hassan Nyalusi

Mkoa wa Kagera
1. Devotha Daniel Mburarugaba
2. Samira Khalfani Amour

Mkoa wa Katavi
1. Martha Festo Mariki
2. Taska Restituta Mbogo

Mkoa wa Kigoma
1. Zainabu Athumani Katimba
2. Naomi Duncan Mwaipopo

Mkoa wa Kilimanjaro
1. Esther Edwin Malleko
2. Zuena Athumani Bushiri

Mkoa wa Lindi
1. Kijakazi Yunus Mohamed
2. Zainabu Rashidi Kawawa

Mkoa wa Manyara
1. Regina Ndege Qwaray
2. Yustina Arcadius Rahhi

Mkoa wa Mara
1. Agness Mathew Marwa
2. Ghati Zephania Chomete

Mkoa wa Mbeya
1. Suma Ikenda Fyandomo
2. Maryprisca Winfred Mahundi

Mkoa wa Morogoro
1. Lucy Similya Kombani
2. Sheila Edward Lukuba

Mkoa wa Mtwara
1. Agness Elias Hokororo
2. Asha Salum Motto

Mkoa wa Mwanza
1. Mary Francis Masanja
2. Kabula Enock Shitobela

Mkoa wa Njombe
1. Pindi Hazara Chana
2. Rebecca Sanga Nsemwa

Mkoa wa Pwani
1. Hawa Mchafu Chakoma
2. Mariam Abdallah Ibrahim

Mkoa wa Rukwa
1. Sylivia Francis Sigula
2. Jacqueline Chrisant Mzindakaya

Mkoa wa Ruvuma
1. Jacqueline Ngonyani Msongozi
2. Mariam Madalu Nyoka

Mkoa wa Shinyanga
1. Santiel Erick Kirumba
2. Christina Christopher Mnzava

Mkoa wa Simiyu
1. Tinnar Andrew Chenge
2. Ester Lukago Mdimu

Mkoa wa Singida
1. Marth Nehemia Gwau
2. Aysharose Ndogholi Mattembe

Mkoa wa Songwe
1. Juliana Shonza
2. Neema C. Mwandabila

Mkoa wa Tabora
1. Aziza Slyeum Ally
2. Christina Solomon Mndeme

Mkoa wa Tanga
1. Husna Juma Sekiboko
2. Mwanaisha Ng’anzi Ule

Wanachama wa CCM Walioteuliwa kwa Nafasi za Ubunge wa Viti Maalumu Makundi (Tanzania Bara)

A: Kundi la NGO’s
1. Magreth Baraka Ezekiel
2. Rahma Riadh Kisuo

B: Kundi la Wanawake wa Vyuo Vikuu
1. Selina Henry Kingalame
2. Asha Juma Feruzi
3. Dkt. Regina Christopher Malima

C: Kundi la Wafanyakazi
1. Halima Iddi Nassor
2. Mariam Anzuruni Mungula

D: Kundi la Wanawake Wenye Ulemavu
1. Ummy Hamisi Nderiananga
2. Stela Ikupa Alex
3. Aisha Msantu Mduyah

E: Kundi la Vijana
1. Ng’wasi Damas Kamani
2. Jesca John Magufuli
3. Halima Abdallah Bulembo
4. Lulu Guyo Mwach
5. Timida Mpoki Fyandomo
6. Jasmin Chesco Ngumbi

F: Kundi la Wazazi
1. Dkt. Catherine Canute Joakim