Rapa Fetty Wap yupo Gerezani akisubiri tarehe ya kuachiwa kwake Januari 8, 2027 kwenye Kesi ya kumiliki na kusambaza dawa za kulevya aina ya Cocaine. Kosa hilo limempa hukumu ya miaka 6 Jela. Sasa picha hii imesambaa mitandaoni ikimuonesha rapa huyo akiwa gerezani.

Kumbuka Kuwa Jumatatu ya August 22 mwaka 2022, Fetty Wap alikiri mbele ya Mahakama kuwa na hatia ya kutekeleza kosa la kumiliki na kusambaza Gram 500 za dawa za kulevya aina ya Cocaine, Kisha 2023 Kuhukumiwa Kifungo Cha Miaka 6 Jela Pamoja Na Muda Ambao Tayari Alishatumikia (Time Served).
Oktoba 2019, Fetty Wap pamoja na wenzake sita walikamatwa na dawa hizo nje ya Tamasha la Rolling Loud.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.