Ni Miaka 22 Tangu Kanye West Aachie Wimbo Wake ‘Through The Wire’

Ni Miaka 22 Iliyopita Tarehe Kama Ya Leo, Rapa Kanye West Aliachia Wimbo Wake ‘Through The Wire’,

Through The Wire’ ni ngoma ya kwanza ya Kanye West kwenye maisha ya Muziki na ilitoka Septemba 30 mwaka 2003. YE alirekodi wimbo huo akiwa na waya kwenye taya zake baada ya kupata ajali mbaya ya gari mwaka 2002.

Kanye West Alivyolazwa Hospitali Baada Ya Ajali Ya Gari 2002