Tanzania yaandika historia, yatinga 16 bora Fainali AFCON 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ chini ya Kocha @miguelgamondi imetinga hatua ya mtoano (16 bora) katika michuano ya Fainali ya AFCON 2025.

Tanzania imeingia hatua hiyo Kama best looser baada ya kukusanya alafu 2 na kufunga magoli matatu.

FULL TIME

Uganda 🇺🇬 1-3 Nigeria 🇳🇬
Tunisia 🇹🇳 1-1 Tanzania 🇹🇿

Katika kundi C Nigeria 🇳🇬, Tunisia 🇹🇳 na Tanzania 🇹🇿 zimefuzu hatua ya 16 bora ya AFCON 2025