
Klabu ya As Far Rabat na Mamelodi Sundows kutoka Afrika Kusini zitachuana vikali kuwania Taji la Klabu Bingwa Afrika kufuatia timu hizo mbili kufuzu katika mechi zao za leo.
Far Rabat wamefanikiwa kuifunga Rs Berkane kwa jumla ya magoli 2-1 huku Mamelodi na wao wakiwatoa Vigogo Esperance De Tunis.
Je, timu gani uaamini itabeba Taji hili msimu huu?






Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.