Afisa wa zamani wa gereza la HMP Wandsworth nchini Uingereza Linda De Sousa Abreu ambaye alionekana kwenye video akifanya mapenzi na mfungwa, amepewa hukumu ya miezi 15 jela.
Linda De Sousa Abreu alikamatwa na maafisa wa gereza baada ya video hiyo kusambazwa mtandaoni
Gavana wa gereza la Wandsworth alisema kitendo cha Abreu kilichukua “siku moja” tu kubomoa miaka mingi ya juhudi za kuendeleza mazingira bora kwa wafanyakazi wa kike katika magereza ya kiume.
Leave a Reply