Aliyekuwa Mpenzi Wa Rapa ‘Chrisean Rock’, anayejulikana kwa jina ‘HoodTrophy Bino’ Anadai Kuwa Alichana Na Mrembo Huyo Kisa Bado Alikuwa Na Tattoo Za Blueface Mwilini Mwake.

Wawili Hawa Rasmi Waliweka Mahusiano Yao Hadharani Agosti Mwaka Huu 2025, Na Kuachana Mwezi Mmoja Baadae Yani Septemba 2025.

Blueface ambaye ni baba wa mtoto wa Chrisean Rock Anatumikia kifungo cha miaka minne jela baada ya kukiuka masharti ya uangalizi (Probabtion) aliyopewa kutokana na kesi ya kumshambulia mlinzi mmoja wa club mwaka 2021.
Ripoti za hivi karibuni zinasema huenda akatolewa gerezani kwa masharti kuanzia mwezi ujao, Novemba 2025.
JE, Wewe Unaweza Kuendelea Na Mahusiano Na Mwanamke Ambaye Bado Ana Tattoo Za Ex Wake
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.