Billboard Yaja na orodha nyingine, ikitoa List juu ya wasanii bora wa karne ya 21 Kutokana na mafanikio ya nyimbo zao kwenye chati za Billboard hot 200 za albamu na Billboard Hot 100 za nyimbo kuanzia mwaka 2000 hadi mwishoni wa 2024.
#TaylorSwift ameibuka kama msanii namba moja akiwa na albamu 14 zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200 na nyimbo 12 zilizofikia nafasi ya kwanza kwenye Billboard Hot 100 katika kipindi cha miaka 25 ya kwanza ya karne hii. Aidha, ametumia wiki 86 kwenye nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200, rekodi ya juu zaidi kwa msanii wa solo.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.