Bright Anapitia Wakati Mgumu Kwenye Muziki Wake .

Msanii Wa Bongo Fleva Nchini @brightmusictz Ameweka Kupitia Kipindi Kigumu Katika Muziki Wake. Bright Amedai Kuwa Anahitaji Meneja Wa Kuweza Kunusuru Kipaji Chake Cha Muziki.

Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram ‘Bright’ Amethibitisha Hilo Kwa Kuandika;

“NATAFUTA BOSS (MANEGMENT) MASHABIKI ZANGU ILI WAWEKEZE KWENYE KIPAJI CHANGU. MAANA NAPITIA KIPINDI KIGUMU KWENYE MZIKI” – Bright

Bright Ni Miongoni Mwa Wasanii Wa Bongo Fleva Waliofanya Vizuri Kwenye Ngoma Kama; Umebadilika Ft @officialnandy, Ni Wewe, Nitunzie Ft @barakahtheprince_, Nimemuona Ft @belle9tz Na Zingine Kibao .