Gari aina ya Hiace linalotumika kama daladala kusafirisha abiria katika eneo la Morombo, limeteketezwa kwa moto katika mtaa ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wamefanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ...

Kesi ya Mauaji ya kukusudia namba 11594/2025 inayomkabili Joseph Muhulila (28) Dereva ‘Bodaboda’ anayetuhumiwa kumuua mwanaye Timotheo Muhulila ...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza Viongozi mbalimbali na mamia ...

Tanzania na Ufalme wa Morocco zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha ...

Rais wa zamani wa Uruguay na mwanasiasa mashuhuri wa mrengo wa kushoto, José “Pepe” Mujica, amefariki dunia akiwa ...

Treni ya abiria ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) inayotoa huduma ya usafiri wa mjini kati ya Stesheni ...

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, ameachiwa kwa dhamana usiku huu baada ya kukamatwa na Jeshi ...

Rais wa Jamhuri ya Finland, Mhe. Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 ...

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limethibisha kumkamata Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa ...