Mwili wa marehemu Papa Francis umepumzishwa katika kaburi lake ndani ya Kanisa alilolipenda sana la Mtakatifu Maria Maggiore ...
Kabla ya kuanza kwa ibada ya mazishi ya Papa Francis, viongozi nchi mbalimbali walikutana katika Basilica la St. ...
Katika kuadhikisha Miaka 61 ya Muungano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ...
Serikali ya Tanzania imeondoa marufuku iliyokuwa imewekwa kwenye uingizaji wa mazao ya kilimo kutoka nchi za Malawi na ...
Jeneza lenye mwili wa marehemu Papa Francis limefungwa rasmi katika ibada ya faragha iliyohudhuriwa na viongozi wa Vatican ...
𝑨𝒔𝒊𝒔𝒊𝒕𝒊𝒛𝒂 𝒖𝒎𝒖𝒉𝒊𝒎𝒖 𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒅𝒖𝒎𝒊𝒔𝒉𝒂 𝑴𝒖𝒖𝒏𝒈𝒂𝒏𝒐 𝒘𝒂 𝑻𝒂𝒏𝒈𝒂𝒏𝒚𝒊𝒌𝒂 𝒏𝒂 𝒁𝒂𝒏𝒛𝒊𝒃𝒂𝒓 𝒌𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒅𝒖𝒎𝒊𝒔𝒉𝒂 𝑨𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒂 𝑴𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂𝒎𝒂𝒏𝒐 Rais wa Jamhuri ya ...
Idara ya Uhamiaji imekanusha vikali taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa kituo cha polisi kinachoitwa ...
Mamlaka za Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Dodoma (DUWASA) na Mtwara (MTUWASA) ikishirikiana na ...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza rasmi utekelezaji wa marufuku ya uingizwaji wa Mazao ya kilimo ...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewahakikishia wananchi kuwa Jeshi ...












Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.