Chris brown aomba wafungwa waliojitolea kupambana na moto Los Angeles Kupunguziwa adhabu


Chris Brown Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kutoa wito wa kufanyika sherehe Baada Ya Janga La Moto Kuisha Lakini Pia kupunguzwa kwa adhabu Za Wafungwa takribani 800 wa CDCR waliojitolea kusaidia kupambana na moto huo Uliotokea Sehemu Kubwa Ya Los Angeles, California.

Chris Brown Kupitia Instagram Story Yake

Jana Alhamis, takribani wafungwa 800 wa CDCR walijiunga na mpango wa Conservation (FIRE) Camps, wakifanya kazi na CAL FIRE kwa malipo ya $5.80 hadi $10.24 kwa siku, na $1 kwa saa katika kipindi hiki cha dharura huko Los Angeles.

Picha Ya Waliojitolea Kupambana Na Moto Los Angeles