Chris Brown Ametumia Ukurasa Wake Wa Instagram Kutoa wito wa kufanyika sherehe Baada Ya Janga La Moto Kuisha Lakini Pia kupunguzwa kwa adhabu Za Wafungwa takribani 800 wa CDCR waliojitolea kusaidia kupambana na moto huo Uliotokea Sehemu Kubwa Ya Los Angeles, California.
Jana Alhamis, takribani wafungwa 800 wa CDCR walijiunga na mpango wa Conservation (FIRE) Camps, wakifanya kazi na CAL FIRE kwa malipo ya $5.80 hadi $10.24 kwa siku, na $1 kwa saa katika kipindi hiki cha dharura huko Los Angeles.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.