Hatimaye Mwanamuziki Kutoka Nchini Marekani @ciara 🇺🇸 Ameachia Kolabo Yake Na SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Waliyoipa Jina La ‘Low’. Kolabo Hii Inapatikana Kwenye Deluxe Album Yake Ya ‘Cici’.

Kolabo hii inaonesha wazi jinsi tasnia ya muziki wa Tanzania inavyozidi kukua na kuvuka mipaka ya kimataifa, kwani Ciara ni mmoja wa wasanii wakubwa duniani walioweka Rekodi Mbalimbali Kubwa Kwenye Muziki Na Kuheshimika Kwa Mchango Wake Mkubwa Katika muziki wa R&B na Pop.
JE, Umeionaje Ngoma Hii ⁉️/ Mstari Gani Umekukosha Zaidi ⁉️
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.