Mwanamuziki kutoka Marekani @ciara Amewasilisha kazi zake katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Grammy 2026.
Wimbo wake maarufu “Low” ft @diamondplatnumz 🦁 umewasilishwa katika vipengele viwili, ambavyo ni Best Music Video pamoja na Best African Music Performance.
Aidha, album yake ya “Cici” imewasilishwa katika kipengele cha Best Progressive R&B Album.

Vilevile, wimbo wake “Ecstasy” aliomshirikisha Normani na Teyana Taylor, umeingia katika kinyang’anyiro cha vipengele viwili vya muziki wa R&B ambavyo ni Best R&B Song na Best R&B Performance.
Hii ni ishara kwamba Ciara anaendelea kutambulika na kuthaminiwa kimataifa kupitia ubunifu na mchango wake mkubwa katika muziki.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.