Kocha wa Liverpool, Arne Slot ameonyesha kuvutiwa na kiwango Cha mshambuliaji wa Wolverhampton, Matheus Cunha (25)
“Matheus Cunha ni mchezaji mwenye kiwango kikubwa sana na kiwango chake ni Cha kucheza miongoni mwa timu tano Bora za hapa uingereza”
“Kama ukienda kutazama michuano ya uholanzi huwezi kupata mchezaji wa timu ndogo kuweza kucheza kwenye vilabu vikubwa kama Ajax, Psv au Feyenoord” amesema Slot.
Matheus Cunha amecheza michezo 55 mpaka sasa akiwa na Wolverhampton na amefanikiwa kuifungua klabu hiyo magoli 23.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.