Tarajia Album Mpya Kutoka Kwa Msanii Wa HipHop Nchini #MrBurudani @darassacmg255 Aliyoipa Jina La “Take Away The Pain”.
Album Hii Darassa Amethibitisha Kuwa Itaachiwa Rasmi Mwezi Ujao Februari 7, 2025.
Mashabiki wanatarajia kazi bora kama ilivyo kawaida Kwa Msanii Huyu Ambaye ameahidi kwamba album hii itakuwa maalum na yenye ladha tofauti.
Album Hii Itaenda Kuwa Ya Tofauti Na Album Yake Ya “Slave Becomes A King” Iliyotoka Mwaka 2020 Na Kufanya Vizuri Katika Majukwaa Mbalimbali Ya Kusikiliza Muziki.
Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.