Diamond Ataka Mbosso Na Babalevo Wampe Heshima Kama Anayowapa.

Baada Ya @officialbabalevo Na @mbosso_ Kujibizana Mitandaoni Juu Ya Wimbo Wa ‘Pawa’ Wakimhusisha Diamond, SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Ameibuka Na Kuwoamba Wamheshimu Kama Yeye Anavyowapa Heshima.

Kupitia IG Story Ameandika: “@officialbabalevo
Wewe ni kijana mwenzangu na naheshimu nafasi yako ila unapoelek ea un anilazimisha kukaa mbali na wewe maana unafanya nihisi kuna agenda n isiojua unanitengenezea

@mbosso_ Unahaki ya kutopendezwa, kuchukia na kureact kwa namna yoyote unayohisi ni sahihi unapokosewa ila naomba usinijumuishe kwenye ujinga wa baba levo na nadhani t ushaliongea hili si mara moja wala mbili tena kwa ushahidi na mifano

Nawaheshinu, naombeni heshimuni heshima ninayowapa, ila kama mna agenda n isiojua kupitia kivuli changu, na mioyo yenu inawambia ni sahihi mnayoyafanya, haya endeleeni” – Diamond Platnumz