Nyota Wa Muziki Africa Na CEO Wa Label Ya @wcb_wasafi, SIMBA š¦ @diamondplatnumz Ameibuka Kuzungumzia Kuhusu Taarifa Zilizosambaa Mtandaoni Za Msanii Wake @mbosso_ Kuondoka Katika Label Yake.
Diamond Kupitia IG Story Amesema Kwamba Amekuwa Na Mazungumzo Mazuri Na #Mbosso Na Hivyo Taarifa Zinazoendelea Mitandaoni Zipuuzwe Hadi Pale Yeye Na Mbosso Watakapotoa Tamko Rasmi .

āTumekua na Mazungumzo Mazuri na @mbosso_ Namna ya kuanza Rasmi sasa Kusimamia Kazi zake na Tumekamilisha jambo letu Vizuri sana, Tafadhali Story yoyote inayozungumzwa kuhusu jambo hili la Mbosso. naomba zipuuzwe, Mpaka Mimi Binafsi na mbosso Tutakapotoa Tamko Rasmiā – Ameandika @diamondplatnumz
Je, Unadhani Jambo Gani Wamelikamilisha Vizuri āļø
āļø:#TRIGGAH (@officialtriggah_ )






Got a Questions?
Find us on Socials or Contact us and weāll get back to you as soon as possible.