Diamond Atangaza Kuachia Album Mpya Ya “Bongo Flavor”.

Nyota Wa Muziki Africa SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Anataka Kuwakumbusha Mashabiki Kitu Kilichopelekea Akapendwa Hadi Leo Hii Kwa Kuachia Album Ya ‘Bongo Fleva’ Kabla Ya Mwezi Mtukufu Wa #Ramadhan.

Diamond Ame-Share Taarifa Hiyo Kwa Mashabiki Zake Kupitia IG Story Yake Kwa Kuandika; “Bongo Flavor Album Before Holy Month Of Ramadhan”

“Achana Na Zuwena, Yatapita…Ni Uchafu…Nataka Niwakumbushe Nini Kilifanya Nikapendwa” – Diamond

Endapo Diamond Ataiachia Album Hii Basi Itaenda Kuwa Album Yake Ya Nne (4) Huku Ya Kwanza Ikiwa Ni “Kamwambie (2010)”, “Lala Salama (2013) ” Pamoja Na “A Boy From Tandale (2017).

JE, Wewe Ni Ngoma Gani Ya Kitambo Iliyokufanya Ukampenda Diamond Hadi Leo Hii + ⁉️